RAIS JK MGENI RASMI STARS VS MOROCCO KESHO



RAIS wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kesho ataongoza mamia ya mashabiki wa soka nchini katika kuishangilia timu ya soka ya Taifa 'Taifa Stars' itakapomenyana na Morocco katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Stars na Morocco zitakutana katika mechi ya pili ya kuwania tiketi ya kucheza fainali ya mataifa ya Afrika (CAN).

Comments