IJUMAA KARIM, MDOGO WANGU SAFI KILA LA HERI



IJUMAA KARIM WADAU! Leo ni siku ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama, lakini kubwa ni kumpongeza mdogo wangu SAFI ABDALLAH THABIT MTILIGA mchana wa leo panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu anafunga ndoa nyumbani kwao SINGIDA mabomba manne.
 Hilo vazi nililotinga ndio sare ya siku ya leo lakini kutokana na majukumu ya kikazi nimeshindwa kuhudhuria tukio hilo ambalo ni SUNNA katika maisha ya muislamu, hivyo nimeona na mimi nitoke nalo huku katika kuonyesha kuwa niko pamoja nawe.
Kila la heri nakutakia, Mwenyezi Mungu awatangulie.
INSHALLAH

Comments

  1. Nami nchukua nafasi hii kuwatakia maharusi kila la heri.

    ReplyDelete

Post a Comment