CCM INATISHA KWA UBUNIFU


Comments

  1. Safi sana!!!! Ndugu wanaCCM, naomba tuendelee na kampeni zetu za nyumba hadi nyumba kuhakikisha kuwa tunajitokeza kuwapa kura zetu wagombea CCM katika ngazi zote za uchaguzi. Mungu ibariki CCM. Mungu ubariki umoja wa Watanzania. Amen. J. Masele.

    ReplyDelete
  2. Kweli INATISHA.
    Lakini si kwa mema. Wanatisha kwa kuwa wanakuwa na mambo kama ya viatu ilhali wapo wasio na miguu ya kuvalia viatu hivyo.
    Pesa za viatu nina imani zingejenga zahanati mahala.
    Ni kweli
    INATISHA

    ReplyDelete
  3. Mzee wa Changamoto, kwanza heshima yako mkuu! Natumai kuwa hayo unayoyasema ni kwa Chadema pia ambao wametumia mabilioni katika kampeni yao na bado watashindwa mwisho wa mwezi. Kampeni ni kampeni, kama wanavyosema wenzetu, 'What's good for the goose is good for the gander!' Ubarikiwe.

    ReplyDelete

Post a Comment