BALOZI MWANAID MAAJAR AKABIDHI HATI YA UTAMBULISHO KWA RAIS OBAMA

Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Mwanaid Maajar akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani, Barack Obama mara baada ya kupokea hati ya utambulisho wa Balozi wetu huyo nchini humo hivi karibuni.

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wetu nchini humo Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (katikati) pamoja na mume wake, Bw. Shariff Hassan Maajar pamoja na mjukuu wao Kai-Hassan katika Ikulu ya Marekani wakati alipokabidhi hati ya utambulisho.

Comments

Post a Comment