ZAIN YADHAMINI BSS 2010 KWA MIL.100


MKURUGENZI WA BENCHMARK PRODUCTION INAYORATIBU SHINDANO LA BONGO STAR SEARCH RITA PAULSEN AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA SHINDANO HILO, KULIA NI MKURUGENZI WA MASOKO WA KAMPUNI YA ZAIN, KELVIN TWISA.

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zain imetangaza kudhamini shindano la kusaka vipaji vya uimbaji la bongo star search (BSS) ambapo imetenga shilingi mil.100 katika udhamini huo utakaodumu kwa miaka mitatu.

Comments

  1. Rita mzuri. Tunaomba umrudishe Salama tunam-miss sana.

    ReplyDelete
  2. Naunga mkono. Naomba Salama Jabir arudishwe bss. Ile timu yenu ya 2007 ilikuwa kabambe kabisa.

    ReplyDelete

Post a Comment