WATANZANIA TUMPIGIE KURA AY







..MSANII wa bongofleva Ambwene Yessaya 'Ay'  amechaguliwa katika finali za Tuzo za Ufaransa za RADIO FRANCE INTERNATIONALE DISCOVERIES AWARD 2010 {Rfi Prix Découvertes 2010} zitazofanyika September,ndani ya Paris.
AY anawaomba watanzania wote kumpigia kura za kutosha aweze/tuweze kushinda tuzo hizo.Unaweza kuvote kupitia http://www.rfimusique.com/
PAMOJA SANA.
Kwa mwaka huu AY alianza kunyakua tuzo ya Chaguo la Teneez ya Kenya,Kili Awards ya Tanzania na Museke Awards ya Ghana.

Comments