WASHINDI BSS WAIBUKIA TUSKER PROJECT FAME

PETER MSECHU, JACKON GEORGE ALIYEKAA MWENYE TISHETI NYEUSI.
WAKATI leo mchakato wa kupata wawakilishi wa shindano la Tysker Project Fame kwa mwaka 2010 ukifanyika katika hoteli ya Peacock, baadhi ya washiriki waliojitokeza ni pamoja na washiriki wa shindano la bongo stars search kwa mwaka 2009 wakiwemo mshindi wa pili Peter Msechu na Jackson George aliyekuwa mshindi wa nne walijitosa kujaribu bahati zao.
Msechu na Jackson wametinga hatua ya pili ya shindano hiyo itakayorindima na kesho

Comments