VODACOM YATUNUKIWA KWA UBORA UNAOKUBALIKA

    Mkurugenzi wa superbrands africa mashariki  Jawad Jaffer (kushoto) akimkabidhi  Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa  zinazokubalika kwa wateja wa simu za mkononi  afrika mashariki,katikati Mkurugenzi wa mahusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba.

   Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakionyesha cheti cha kudhibitishwa ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika kwa wateja wa simu za mkononi  afrika mashariki  mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi  wa superbrands Jawad Jaffer(hayupo pichani)

     Baadhi ya washindi waliokabidhiwa  vyeti mbalimbali toka kwa kampuni ya superbrand.

Comments