VODACOM ILIVYOTOA ZAWADI YA IDD KWA YATIMA WA ZANZIBAR

Mtoto Sharifa Khamis wakidato cha tatu(10) akimuonyesha uhodari wa kuandika Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa Unguja Zanzibar , Vodacom Foundation walitoa misaada ya vyakula,mafuta ya kula,madafutari pamoja na mbuzi 12 kwa ajili ya sikukuu ya Eid el Fitr,Vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 2.
Watoto yatima na waishio katika mazingira hatarishi wa mjini Unguja Zanzibar wakiwa wamepokea mbuzi wao mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation na kutoa misaada ya vyakula,mafuta ya kula,madafutari pamoja na mbuzi 12 kwa ajili ya sikukuu ya Eid el Fitr,Vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 2.

Naibu Khadhi Mkuu wa Zanzibar Shekhe Khamis Haji Khamis akiwakabidhi akiwakabidhi Mafuta ya kula watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wa mjini Unguja Zanzibar mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Foundation kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation na kutoa misaada ya vyakula, mafuta ya kula,madafutari pamoja na mbuzi 12 kwa ajili ya sikukuu ya Eid el Fitr,Vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 2.

Comments