THT SI MCHEZO, VIJANA WANALITAWALA VEMA JUKWAA!








HIZI NI PICHA TOFAUTI ZA KUNDI LA TANZANIA HOUSE OF TALENT (THT)

KIUKWELI kundi hili linatisha katika sekta ya burudani kwani huwa hawachoshi pindi wanapopanda jukwaani kufanya vitu vyao, vijana wanamudu kucheza nyimbo za mitindo yote duniani, kweli hawa ni vijana toka kituo cha kukuza na kuzalisha vipaji.
Hongera Ruge Mutahaba na timu yako nzima kwa kusimamia kazi vizuri ambayo matunda yake yanaonekana kwa ni si hao tu kuna nyota wanaofanya vema kwenye game wamepitia hapo na wengine bado huwa wanapita kupigwa msasa mara kwa mara.

Comments