SEMINA YA TASWA ILIVYOKUWA JANA

MWENYEKITI WA MISA-TAN, AYUB RIOBA AKITOA MADA
MKUFUNZI WA MCHEZO WA GOFU
MWAMUZI, LESLIE LIUNDA NAYE AKITOA MADA KWA WANAHABARI
MKUFUNZI WA MPIRA WA WAVU



 TIMZOO KALUGIRA (BINGWA)

ISAAC GAMBA (RADIO ONE)

JABA, KAPINGA (JAMBO LEO)

SAID KILUIMANGA (MAGIC fM), ALFRED LUCAS (MSETO)
WAANDISHI wa habari toka wa habari za michwezo toka vyombo mbalimbali cvya habari jana walishiriki katika siku ya mwisho ya semina ya siku mbili iliyofanyika katika ukumbi wa manispaa ya kinondoni ambapo walipata fursa ya kufunzwa masuala mbalimbali ya kimichezo na jana mwamuzi mstaafu na katibu wa chama cha waamuzi wa soka Tanzanmia (TAFCA) Leslie Liunda alitoa mada kuhusu sheria 17 za soka na mengineyo.
Pia mwandishi mwandamizi Ayoub Rioba na alifunisha maadili ya uandishi wqa habari na mambo mengine, pia kulikuwepo na wakuifubnzi wa mchezo wa gofu na mpira wa wavu.
Semina hiyo ya siku mbili iliandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA)

Comments