RASCOM KUKUTANA KESHO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mawasiliano ya Satelite Afrika (RASCOM)Bw.Jones Killimbe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuhusu mkutano wa bodi wa RASCOM utakaofanyika kesho.

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa RASCO


NCHI za Afrika zimetakiwa kuboresha mawasiliano kwa njia ya satelite ili kukuza mawasiliano ya uchumi hayo yalisemwa jana Dar es salaam jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuniya mawasiliano ya Satelite Afrika (RASCOM).
Bw.Jones Killimbe kuwa mawasiliano hayo yamesaidia kuboresha huduma za jamii.'leo leo kutakuwa na mkutano wa bodi ya RASCOM kuzungumzia mafanikio toka tilipopata huduma za Satelite'alisema Bw. Killinge.
Aliongeza kuwa matumizi ya mawasiliano kwa njia ya satelite yatasaidia kubolesha huduma za benki na kurushwa kwa matangazo ya redio na televisheni kirahisi.
Bw. Kullimbe alisema asilimia 65 ya wananchi wanaishi vijijini na wanaitajihuduma za mawasiliano ili kuwa na maisha bora RASCOM itasaidia kuunganisha zaidi ya shule 600,000 za Afrika ili kuongeza ufanisi kwa wanafunzi.
KWA HISANI YA http://www.burdan.blospot.com/

Comments