MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA TFF, ATHUMAN NYAMLANI AWATAKA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO KUANDIKA HABARI ZA KWELI

ATHUMAN NYAMLAN, MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA TFF

DINA ISMAIL (TANZANIA DAIMA/SAYARI)

CLARA ALFONCE (MWANANCHI)

ALI  MKONGWE (ITV)

SALUM MKANDEMBA (SAYARI)

CECY JEREMIA (UHURU FM)

KHADIJA KALILI (TANZANIA DAIMA/www.bongoweekend.blogspot.com)

ALFRED LUCAS (MSETO/Mwanahalisi)


ASHA KIGUNDULA (JAMBO LEO)

SOMOE NG'ITU (NIPASHE)

MWALI  IBRAHIM (MAJIRA)


SOFIA ASHERY (UHURU)


ISAAC GAMBA (RADIO ONE/ITV)


TULO CHAMBO (TANZANIA DAIMA)

JOSEPH KAPINGA (JAMBO LEO)

ZAINAB KILUWALE (TIMES FM)
MAKAMU wa pili wa rais wa shirikisho la soka Tanzania  (TFF)  Athuman Nyamlani amewataka waandishi wa habari za michezo nchini kuandika habari za ukweli badala ya zile za uchonganishi ambazo zinasababisha wafadhili washindwe kuja kusaidia kuchangia maendeleo ya soka nchini.
Nyamlani aliyasema hayo jana wakati akifunga semina ya siku mbili kwa waandishi wa habari za michezo iliyofanyika katika ukumbi wa manisoptaa ya kinondoni, ambapo pia alikabidhi vyeti kwa washiriki.

Comments