KWA STAILI HII SI FULL KUFUTUKA?








WAREMBO waliopo katika hoteli ya Giraffe wakijiandaa na shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka 2010, hawana hofu ya kuongezeka uzito kwani ni full kujichana na misosi ya kila aina.

Comments