KOCHA TOKA AUSTRALIA ATUA KUNOA TIMU YA TAIFA YA NETIBOLI

KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA YA NETIBOLI SIMONE MACKNNIS PAMOJA NA MWENYEKITI WA CHANETA ANNA BAYI BAADA YA KUWASILI LEO







KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Netiboli, Simone Macknnis, raia wa Australia ametua nchini jioni ya leo  tayari kuanza kazi ya kuinoa timu hiyo kwa mashindano ya kimataifa.

]Kocha huyo amewasili huku timu ya taifa ya Netiboli, Taifa Queens ikikabiliwa na mashindano ya Afrika yatakayofanyika nchini Afrika ya Kusini kuanzia Septemba 5.

Comments

  1. Duuh dada Dina naomba nimjue huyo alivaa fulana ya kijani kwani nimempenda sana

    ReplyDelete

Post a Comment