DK.BILAL AMNADI RAGE TABORA MJINI

Mgombea  Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Tabora mjini, Aden Ismail Rage, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwrnye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui jana.
Mgombea mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib  Bilal, akiwahutubia wananchi wa Tabora mjini wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye  Uwanja wa Shule ya Sekonda Uyui  jana.
3Mgombea mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib  Bilal, akiwahutubia wananchi wa  Kijiji cha Ndala mkoani Tabora  wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana kabla ya kuingia Tabora mjini.

KWA HISANI YA SUFIANI MAFOTO

Comments