BANKA AITWA TAIFA STARS

BANKA
KIUNGO Mshambuliaji wa mabingwa wa soka Tanzania Mohammed Simba Banka ni miongoni mwa wachezaji wapya ambao wameitwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa 'Taifa Stars' itakayojianda na mechi yao ya kuwania kucheza fainali za mataifa ya Afrika dhidi ya Morocco itakayopigwa Oktoba 7 jijini Dar es Salaam.
Mbali na Banka, kocha Mku wa Stars, Jan Paulsen aliwataja wachezaji wengine wapya walioitwa katika timu hiyo ambayo inatarajiwa kuingi kambini jioni ya leo ni pamoja na
MAKIPA:
SHABAN KADO (MTIBWA)
JUMA KASEJA (SIMBA)
SAID MOHAMED (MAJIMAJI)

CENTER BACKS:
AGGREY MORRIS (AZAM FC)
ERASTO NYONI (AZAM FC)
NADIR HAROUB (YANGA)

FULL BACKS:
SHADRACK NSAJIGWA (YANGA)
HARUNA SHAMTE (SIMBA)
SALMIN KISS (POLISI TANZANIA)
STEPHANO MWASIKA (YANGA)

MIDFILDERS:
HENRY JOSEPH (KONGSVIGER -NORWAY)
SHABAN NDITI (MTIBWA SUGAR)
NURDIN BAKARI (YANGA)
JABIR AZIZ (SIMBA)
NIZAR KHALFAN (VANCOUVER- CANADA)
SELEMAN KASSIM (AZAM FC)
IDRISSA RAJAB (SOFAPAKA -KENYA)
SALUM MACHAKU (MTIBWA SUGAR)

STRIKERS:
DANNY MRWANDA (DT LONG AN- VIETNAM)
MOHAMMED BANKA (SIMBA)
MRISHO NGASSA (AZAM FC)
JOHN BOKO (AZAM FC)
MUSSA HASSAN MGOSI (SIMBA)

Comments