BALOZI MWANAID MAAJAR AJITAMBULISHA RASMI WHITE HOUSE

:
L-: Shariff Maajar, Kai (mjukuu) Sharen Dunn na Balozi Mwanaidi Sinare-Maajar


Balozi mpya anayeiwakilisha Tanzania nchini Marekani, Mwanaidi Sinare-Maajar, amefika katika ikulu ya Raisi wa Marekani "White House" kuwasilisha nyaraka zake za utambulisho rasmi wa kuanza kazi yake. Full stori click swahili villa,  sisi kwa sisi daima.
habari zaidi http://swahilivilla.blogspot.com/ /

Comments