WASHIRIKI VODACOM MISS TANZANIA ZIARANI KWENYE VIVUTIO VYA UTALII



Baadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipiga picha kando ya daraja la mto Wami lililop[o Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya Utalaii

Comments