UCHAGUZI TASWA



                           
                                                                   MAHAMOUD ZUBEIRY

                             
VIONGOZI WALIOMALIZA MUDA WAO

KAMATI YA UCHAGUZI KAZINI

SELE, KHADIJA
SHAFFIH, TIMZOO
AMIR MHANDO, KATIBU MKUU MPYA

CHAMA cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) kimepata viongozi wapya ambapo Juma Pintio amekuwa Mwenyekiti, Maulid Kitenge (Makamu Mwenyekiti), Amir Mhando (Katibu Mkuu), George John (Katibu Msaidizi), Sultan Sikilo (mhazini), Mohamed Mkangara (mhazini msaidizi), Onesmo Kapinga, Salum Jaba, Zena Chande, Ellius Kambili, Grace Hoka na Alfred Lucas walitwaa nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji

Comments

  1. ehe mkwe wangu na mdogo wangu nimesikitika sana kuona akina dada wa TASWA kwa nini walishindwa kukuunga mkono ushinde nafasi hiyo,hali ari ni mwanamke pekee uliyojitokeza kuwania nafasi ya mtunza fedha wa TASWA ,na cha kusikitisha zaid ni wanawake wawili tu waliofanikiwa kuwa miongoni mwa viongozi wa TASWA,why?

    ReplyDelete

Post a Comment