SIMBA YARUDI ZENJI, YANGA YATIMKIA BAGAMOYO

SIMBA WAKIWA BANDARI YA SALAMA TAYARI KUPANDA BOTI YA KILIMANJARO KWENDA VISIWANI ZANZIBAR









WATANI wa jadi nchini timu za Simba na Yanga wameamua kutoa nje ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kujiandaa na mechi yao ya kuwania ngao ya hisani itakayopigwa Agosti 18.

Simba, mabingwa watetezi wa ligi kuu imerejea Visiwani Zanzibar huku Yanga ikienda Bagamoyo

Comments

  1. Hayo ndiyo mambo ya wapinzani wa jadi, nafikiri asilimia kubwa ya watanzania ukiwauliza watakuwa simba au yanga, hata kama mtu sio mshabiki sana, lakini kuna kupenda kati ya timu hizo mbili

    ReplyDelete

Post a Comment