RBP OIL WAFUTURISHA TWIGA STARS


MKURUGENZI WA RBP OIL & INDUSTIAL LIMITED RAHMA AL KHAROOS MWENYE HIJABU AKIWA NA WAKURUGENZI WA SEATTLE SOUNDERS AMBAO WAPO KATIKA MAZUNGUMZO YA MWISHO KABLA YA KUINUNUA TIMU YA ASFRICAN LYON.

 
BAADHI YA WACHEZAJI WA TWIGA STARS WAKIFUTURU

Comments

  1. napongeza sana jinsi huyu mama anavyowahanlde Twiga Stars, ni changamoto ambayo inatakiwa ichukuliwe pia na wadau wengine wa michezo hapa nchini. big up sana

    ReplyDelete
  2. Tuawasubiri katika mashindano ya Afrika yatakayofanyika Afrika Kusini Oktoba, wakaze matako walifungwa mabao 5-0 na Banyana banyana, wasibweteke

    ReplyDelete

Post a Comment