MZIGO MPYAAAAAAAAAAA!!!




MAMAPIPIRO, SOMOE NG'ITU, MWANI NYANGASA


SOMOE, MWANI, SOFIA ASHERY

NANI anabisha kama huo sio mzigo mpya, maana hapo ni full viulizo kwa ambao hatujawahi kukutana.
Hapo kila mtu alikuwa akimshangaa mwenzake, nadhani waandhishi wa habari za michezo wanaifahamu fika kauli hiyo inamaanisha nini.

Comments

  1. mbona mnatuacha kwenye mataa jamani sisi wadau wenu?hebu tuambieni mzigo mpya ndio nini jamani

    ReplyDelete

Post a Comment