MBWANA MATUMLA APOTEZA UBINGWA WA WBC UKRAINE

BONDIA Mbwana amepoteza kwa point ubingwa wa WBC international alipopambambana jana  nchini Ukraine na kupata pointi 120-118,119-109 na 116-114 .
Ahsante Juma Ndambile -Manager

Comments

  1. Ndio ile enzi ya MATUMLA inakwisha nini?

    ReplyDelete
  2. Mbona huyo Mzungu anaoneka uso umechafuka wakati Mbwana yupo powa tu au ndiyo mambo ya uzalendo?

    ReplyDelete

Post a Comment