MASHABIKI WAZISUBIRI TIKETI ZA SIMBA NA YANGA KABLA HAJIZAFIKA


MASHABIKI WAKIWA NJE YA UWANJA WA KARUME

 

MAGARI YA KUUZIA TIKETI



OFISA HABARI WA TFF, FLORIAN KAIJAGE AKIFAFANUA JAMBO KWA WANAHABARI KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA MECHI HIYO

MASHABIKI kibao wa soka walikusanyika leo katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kusubiri kununua tiketi za kushuhudia mechi ya kuwania ngao ya hisani baina ya Simba na Yanga itakayopigwa kesho jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments