LIL KIM, BRACKET, WAIMBA ALADGI KUPANGUSA FIESTA






MSANII Kimberly Denise Jones maarufu kama Lil Kim kutoka nchini Marekani pamoja na kundi maarufu toka Afrika Magharibi linalotamba na kibao cha Aladji wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la muziki la Fiesta linalotarajiwa kufanyika Agost 7 katika viwanja vya Leaders Kinondoni.

Kama hiyo haitoshi pia kundi la Bracket kutyoka nchini Nigeria pamoja na wasanii wengine wa hapa nchini wanatarajia kutoa burudani

Comments

  1. hivi huyu mdada, uchi huo ni wake ama!!!
    Mungu amemjaalia sana kwa maana kwenye picha tu namna hiyo, nijulishe mdada

    ReplyDelete
  2. Fiesta hiyo itakuwa bab kubwa kwa maana hao washiriki ni noma, itakusanya wadau wengi sana

    ReplyDelete
  3. Fiesta itakuwa bomba kwa sababu ya Aladgi ambao ni gumzo mjini wengi watajitokeza

    ReplyDelete
  4. du mpapa huo sio mchezo ngoja nikampigie puchu

    ReplyDelete

Post a Comment