KUMEKUCHA UCHAGUZI TASWA


KATIBU MSAIDIZI WA TASWA AMIR MHANDO

MPAKA kufikia jioni ya leo, wagombe 22 wamejitokeza kuchuku fomu za kuwani nafasi mbalimbali za uongozi wa Cham,a cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA).

Akizungumza mchana wa leo, Katibu Msaidizi wa Taswa Amir Mhando alisema kwamba maandalizi yanakwenda vizuri na sasa uchaguzi utafanyika jumapili kwenye ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni.

MWENYEKITI:
1.MASOUD SANANI
2.MPOKI BUKUKU
3..JUMA PINTO

MAKAMU MWENYEKITI:
1.TOM CHILALA
2.SHAFFIH DAUDA
3.MAULID KITENGE

KATIBU:
AMIR MHANDO

KATIBU MSAIDIZI:
1.GEORGE JOHN
2.NASONGELYA KILYINGA

MWEKA HAZINA:
1.DINA ISMAIL
2.SULTAN SIKILO

MWEKA HAZINA MSAIDIZI:
SELEMAN MKANGARA

UJUMBE:
1.TULLO CHAMBO
2.GRACE HOKA
3.ZENA CHANDE
4.ELIUS KAMBILI
5.SALIM JABA
6.CECY JEREMIAH
7.ALFRED LUCAS
8.MASAU BWIRE
9.ONESMO KAPINGA
10.MASHAKA MHANDO

Comments