KOCHA MPYA STARS AWAREJESHA CHUJI, KASEJA KUNDINI


KOCHA MPYA WA STARS, JAN PAULSEN MWENYE FULANA NYEUSI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO, KULIA NI RAIS WA TFF, LEODGER TENGA





KOCHA mpya wa Taifa Stars Jan Paulsen ametangaza kikosi kiopya cha wachezaji wa timu hiyo huku akiwarejesha kundini nyota wa zamani waliokuwemo katika kikosi hicho kabla ya kutemwa na kocha aliyepita, Marcio Maximo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu.

Nyota hao ni pamoja na kipa wa Simba Juma Kasejana  kiungo wa Yanga Athuman Idd Chuji.

Timu hiyo itaingia kambini kesho kujiandaa na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Misri itakayopigwa Agosti 11 nchini Misri.


GOAL KEEPERS:
SHABANI KADO (MTIBWA SUGAR)
JACKSON CHOVE (AZAM FC)
JUMA KASEJA (SIMBA)


FULLBACK:
SHADRACK NSAJIGWA (YANGA SC)
SALUM KANONI  (SIMBA SC)
STEPHANO MWASIKA (YANGA SC)
JUMA JABU (SIMBA SC)
IDRISSA RAJABU (SOFAPAKA  YA KENYA)



CENTERBACKS:
NADIR HAROUB 'CANAVARO'  (YANGA SC)
KEVIN YONDAN (SIMBA SC)
AGGREY MORRIS (AZAM FC)
ERASTO NYONI  (AZAM FC)

MIDFILDERS:
NURDIN  BAKARI (YANGA SC)
ADULHALIM HUMOUD (SIMBA SC)
HENRY JOSEPH (KONGSVINGER- NORWAY)
ATHUMAN IDDI (YANGA SC)
NIZAR KHALFAN (VANCOUVER WHITECAPS -USA)
JABIR AZIZ (AZAM FC)
KIGI MAKAS (YANGA SC)
ABDI KASSIM (YANGA SC)
UHURU SELEMAN (SIMBA SC)
SELEMAN KASSIM  (AZAM FC)

FORWARDS:
MRISHO NGASSA (AZAM FC)
JOHN BOCCO  (AZAM FC)
MUSSA MGOSI  (SIMBA SC)
JERSON TEGETE (YANGA SC)
DANNY MRWANDA  (DT LONG AN -VIETNAM)

Comments

  1. Kocha anaweza akawa mzuri, lakini pia sisii kama wachezajii na sisi kama serikalii na sisi kama wapenzi tumejiandaje kuhakikisha tunampa ushirikiana wa kutosha. Kwani vitu hivi havii kama njozi, na hisia vinahitaji matendo ya dhati

    ReplyDelete

Post a Comment