JESHI LA POLISI LAINGIZA MAGARI TAYARI KWA UCHAGUZI





NA HII MIZIGO ILIKUWA NDANI YA MOJA YA MAGARI

JESHI la polisi nchini limeingiza magari kibao ikiwa ni mahususi katika kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge kwa mwaka 2010 na yalikuwa katika msururu wa kujaza mafuta katika kituo cha BP kilichopo mtaa wa makunganya

Comments