HAWA NDIO WALIKUWA WANANIKUNA KATIKA MUZIKI WA HIP HOP ENZI HIZO

MARY J BLIGE

MAREHEMU LEFT EYE (RIP)

DA BRATTAATAAA

BAHAMADIA

MC LYTE

QUEEN LATIFAH

LIL KIM

LAURYN HILL

LADY OF RAGE

FOXY BROWN


MS JADE

RAH  DIGGAH
NI nani asiyekubali kwamba kina dada hawa waliteka hisia za mashabiki wa muziki wa hip hop mwanzon mwa miaka ya 2000?, baadhi yao wanaendelea ingawa kwa kusuasua, wengine wamegeukia fani nyingine ikiwemo uigizaji filamu.
Enzi hizo tukisoma wengi wetu tukliookuwa tukipenda muziki tulikuwa mahiri wa kunaliki nyimbo zao zilizokuwa zikitamba kwa kipindi kile.

Comments