HATA ULAYA 'KUDESA' MAVAZI KUMO

EVA MENDES


THANDIE NEWTON

SUALA la nyota kuvaa vazi ambalo linafanana na mwenzake kwa ulaya ni kitu cha kawaida sana, lakini kwa hapa bongo kidogo inakuwa ngumu.

Lakini mmoja wa wachekeshaji Eva Mendes na muigizaji Thandie Newton -- hilo si tatizo kwao kwani walijikuta wakiripuka kwa vivazi vinavyofanana katika matukio tofauti.

Mendes alikivaa kivazi hicho julai 23 alipokuwa akinadi kazi yake mpya 'The Other Cuys' katika mkutano wa filamu.

Thandie, muigizagi wa 'The Pursuti of Happyness' ndiye alianza kutinga kivazi hicho ambapo Juni 9 alikivaa kati pati ya uzinduzi wa vitu vya thamani vya mbunifu Solange Azagury.

Comments