DOGO INNO- KICHWA KIPYA THT

DOGO INNO



Innocent Magawa Dogo Inno msanii wa muziki wa miondoko ya Rithims and blues wa kituo cha Tanzania House of Talent (THT) ni miongoni mwa vijana wenye kufanya kazi za miondoko mbalimbali.

Dogo Inno ni mojawapo ya vijana wenye vipaji lukuki ikiwemo kuchora katuni, mabango, kuchekesha na kuigiza sauti za viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali kama baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Jakaya Mrisho Kikwete, Ali Hassan Mwinyi.

Comments

  1. Unajuwa wapo vijana wengi wana vipaji kama yeye, lakini jinsi gani ya kuwawezesha inakuwa tatizo. Vyuo kama hivyo vipo lakini mimi ningeshauri ule mpango wa baba wa taifa wa kuanzisha vijiji vya wataalamu ungerejeshwa.
    Na hili lisiwe hapa Dar pekee, iwe kama JKT, vile, vijana wanajiunga, wanapata mafunzo ya ukakamavu mwisho wa siku wanaonyesha vipaji vyao

    ReplyDelete

Post a Comment