BIRTHDAY YA PRINCE AKBAR NA PRINCESS ASIA

HAFLA ya kutimiza miaka mitatu kwa wanangu Princess Asia na Prince Akbar iliyofanyika nyumbani kwa bibi na babu yao huko Tabata Shule jijini Dar es Salaam jumapili.




PRINCE AKBAR




PRINCESS ASIA




DADA YAO PRECIOUS KANUNA KISA HAJAFANYIWA BIRTHDAY












Comments

  1. Yaani Dina unavyofanana na watoto zako wawili uliowafanyia birthday, utafikiri wadogo zako

    ReplyDelete
  2. tazama prince Akbar anavyonyoosha kidole utafikiri, Mama Pipiro anamkromea Mahmoud Zubery

    ReplyDelete
  3. nawapa hongera sana kwa wanao kutimiza mwaka mmoja na mwengine miaka mitatu hongera sana,ehe jamani dada mtu kanuna huyo inaonesha hujamtendea haki naye mfanyie birthday yake ikifika

    ReplyDelete

Post a Comment