YANGA VS TELECOMS WONDERS


SALUM MKEMI, MRATIBU WA MECHI BAINAYA YANGA NA TELECOMS WONDERS

TIMU ya soka ya Yanga itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki na Telecoms Wonders ya Malawi jumapili hii katika uwanja wa Uhuru a.k.a Shamba la Bibi.

Kwa mujibu wa mratibu wa mechi hiyo Salum Mkemi, Wamalawi hao watakuja Ijumaa na kucheza mechi hiyo tu na kisha kurejea kwao.

Comments