YANGA KUSOMA HITMA JUMAMOSI


KUTOKA KUSHOTO NI KATIBU WA YANGA, LAWRANCE MWALUSAKO, NCHUNGA NA SENDEU, MSEMAJI WA YANGA

KLABU ya soka ya Yanga inatarajiwa kusoma hitma maalum kwa kuwakumbuka wanachama, viongozi na wachezaji wa timu hiyo waliotangulia mbele ya haki.



WANAHABARI

Mwenyekiti wa Yanga Lloyd Nchunga amewaambia wandisdhi wa habari leo kwamba hitma hiyo itafanyika klabuni hapo na itaongozwa na masheikh na baadaye viongozi wa madhehebu mbalimbali ya kikkristo nao wataendesha swala maalum.

Comments

  1. Bado nawashauri viongozi wa Yanga kuwa siri ya ushindi ni ushirikiano na uongozi bora. Unaokuwa kiongozi, unaacha ushabiki nje, unaangalia dira na kanuni za uongozi na katiba ikiwa ndio msimamo wako. Ukifuata ushabiki utayumba , kwani kila mshabiki ana lake, sasa utamfuata shabiki gani.

    ReplyDelete

Post a Comment