WAZEE WA UFUNDI SIMBA, YANGA MAMBO YA PWEZA VP?







WAKATI kombe la dunia likielekea ukingoni huku timu vigogo vya soka dunia vikiiga michuano hiyo, gumzo limeibuka kuhusiana na PWEZA aliyepewa jina la PAUL wa UJeruman ambaye amekuwa akitabiri ukweli pindi timu zinapokaribia kumenyana.

Baadhi ya tabiri hizo ni pamoja na mechi kati ya UJeruman na Uingereza hatua ya 16 alipotabiri Ujerumani kushiunda na kweli iliishinda mabao 4-1.

Comments