WADAU MNAZIKUMBUKA CHACHACHA?


CHACHA NI VIATU FULANI VYA PLASTIKI VILIVYOWAHI KUVUMA MIAKA YA NYUMA.
NAKUMBUKA MIAKA HIYO WAKATI TUNASIOMA BILA YA KUWA NA VIATU HIVYO ULIONEKANA SI MALI KITU, LAKINI BAADA VIATU HIVYO VILIONEKANA HAVINA THAMANI YOYOTE NA VINAVALIWA NA WATU WA HALI YA CHINI.
KWA SASA VIATU HIVYO VIMEANZA KUREJEA KWA KAZI VIKIWA VIMETENGENEZWA KWA MTINDO WA KISA NA RANGI ZINAZOKWENDA NA WAKATI

Comments

  1. Nazikumbuka sana. Nilikuwa kidato cha nne enzi zile. Ukitembea nazo wakati wa jua kali zinapata motoooo halafu zinalainika. We acha tu. Asante kwa kumbukumbu hii...

    ReplyDelete
  2. mmm dina hacha uzushi ulivivaa lina viatu hiyo,na sidhani hata kama kipindi hicho tutazivaa kama hata umri wa mwanao wa pili ulikuwa umeupata,

    ReplyDelete
  3. kweli ndugu yangu mimi nilizivaa nakumbuka nilikuwa darasa la pili na la tatyu hivi, tena nilikuwa nazikata na kiwembe nikizichoka ili ninunuliwe mpya

    ReplyDelete
  4. Tukirudi nyuma zaid, kwa sisi wenye umri wa miaka 50, tulipokuwa primary school hivi viatu vilikuwa vikiitwa Tanga Shoes kwa kuwa kulikuwa na kiwanda cha viatu hivyo Tanga. Kiwanda hicho kilikufa kwenye miaka ya sabini na...

    ReplyDelete
  5. dah! kumbukumbu murua sana....yaani we acha tu...lol!

    ReplyDelete

Post a Comment