TIP TOP 'WAPANDA IRINGA'




KUNDI lisilochuja kwenye bongo fleva TIP TOP CONNECTION lipo njiani kwenda IRINGA tayari kwa onyesho lao litakalofanyika kesho kwenye uwanja wa sokoine mjini humo.

Meneja wa kundi hilo Babu Tale amesema wasanii wanaunda kundi hilo Keysha, Cassim, Madee,
Tundaman, Desso na kijana mpya kabisa Roberty wamepania kufanya kweli kwenye onyesho hilo.


Alisema onyesho hilo litasindikizwa na Offside Trick, Mc Babu Ayub, Barnaba na Linah

Comments

  1. kweli mnatisha TIP TOP CONNNECTIZOO mko juu kila la heri mkitoka huko mje na KAGERA,
    BENSON

    ReplyDelete
  2. hi,
    naifagilia Tip Top Connection kwa kweli hawa vijana si mchezo.

    Mimi mwenyewe ni mkazi Manzese, vijana wanatupaisha ile kinoma yaani.

    kazeni buti na kuitangaza Manzese kwani hakuna wa kuwashusha

    ReplyDelete
  3. Namfagilia Keysha kwa miondoko yake ya Kimamtoni, aongeze juhudi halafu nampenda sana mtoto, sijui umeolewa

    ReplyDelete

Post a Comment