RATIBA LIGI KUU YA VODACOM YATANGAZWA


OFISA HABARI WA TFF, FLORIAN KAIJAGE

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya ligi bara msimu wa 2010/2011 ambapo pazia litafunguliwa rasmi agosti 21 kwa timu zote zinazoshiriki kushuka katika viwanja tofauti siku hiyo.

Kabla ya kuanza kwa ligi hiyo kutafanyika mchezo wa ngao ya jamii siku ya agosti 14 utakaozikutanisha Simba na Yanga, huku katika mikoa washindi wa kwanza na wa pili watapepetana.

SIKU  YA UFUNGUZI RATIBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
AFRCAN LYON VS SIMBA- UHURU
POLSI DODOMA VS YANGA -JAMHURI, DODOMA
AFC VS AZAM FC- SHEIKH AMRI ABEID, ARUSHA
MAJIMAJI VS MTIBWA SUGAR- RUVUMA
TOTO AFRICAN VS RUVU SHOOTING- CCM KIRUMBA, MWANZA
KAGERA SUGAR VS JKT RUVU STARS- KAITABA, KAGERA

Comments