RASHID MATUMLA, MADA MAUGO KUONYESHANA KAZI JULAI 18

MATUMLA kushoto, MADA KULIA WAKITUNISHIANA MSULI MBELE YA WAANDISHI WA HABARI LEO KATIKA UKUMBI WA IDARA YA HABARI (MAELEZO).


MABONDIA Rashid Matumla 'Snake Man' na Mada Maugo wanatarajiwa kupanda katika ulingo wa PTA Julai 18 katika pambano la raundi kumi lisilo la ubingwa katika uzani wa kilogramu 72.7 (Middle).

Rais wa Organaizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania inayosimia pambano hilo Yassin Abdallah 'Ustadh', amesema kwamba kabla ya pambano hilo kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi.


KUTOKA KUSHOTO RASHID, USTADH, PROMOTA, MAUGO

Aidha, pambano hilo limeandaliwa na MEDIA ENTERTAINMENT ya jijini DAr es Salaam.


MATUMLA KUSHOTO, USTADH

 
PROMOTA


Comments