MTOTO WA BOSI WA YANGA AWA MISS TEMEKE 2010


MISS TEMEKE NEEMA EMMANUEL (KATI),AKIWA NA MSHINDI WA PILI ANA DAUDI KULIA NA MSHINDI WA NNE BRITANIA URASSA KUSHOTO

MTOTO wa katibu wa kamati ya mashindano ya Yanga, Emmanuel Mpangala, Geneviva Emmanuel usiku wa kuamkia juzi alifanikiwa kutwaa taji la Vodacom Miss Temeke 2010.


Geneviva alifanikiwa kutwaa ttaji hilo katika shindano lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es salaam na hivyo kujinyakulia kitita cha shilingi mil.1.5.

Nafasi ya pili ilikwenda kwa Anna daudi aliyepata milioni moja na Britania Urassa aliyekuwa wa tatu alipata 800,000.

Shindano hilo lilipambwa na burudani toka kwa wacheza shoo wa bendi ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ pamoja na B- Band.

Comments