KUMEKUCHA MISS TEMEKE


KANDA ya Temeke ijumaa ya wiki hii inatarajiwa kumpata mrembo wake kupitia shindano la Miss Temeke linalotarajiwa kufanyika katika klabu ya Tcc Changombe.

Comments