KINABO ARUDI 'NEWS ROOM' BAADA YA MCHAKATO WA UBUNGE

KINABO KUSHOTO AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, RUHAZI RUHAZI


MMOJA ya mwandhi mwenzetu wa kampuni ya FRee Media, Edward Kinabo amerejea katika chumba cha habari baada ya kuwa nje ya kazi yake hiyo kwa miezi kadhaa kutokana na kuwa katika mchakato wa kuwania kuteuliwa kuwania ubunge katika Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro, lakini hakubahatika.

Nakupongeza kwa kujaribu kwako kwani inaonyesha ni jinsi gani amekomaa kisiasa.

Nakutakia kila la heri katika jitihada zako kaka naamini msimu ujao utafanikisha.

Comments