HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY BABY BOY PRINCE AKBAR

LEO mwanangu wa tatu PRINCE AKBAR MAHMOUD anatimiza mwaka mmoja.


                                                     HAPPY BIRTHDAY BABA


Comments

  1. Hi big up dogo kwa kufikisha mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwako, mungu akukuze katika maadili mema duniani ili kesho kiama makazi yako yawe peponi, amina

    ReplyDelete
  2. Mungu akujaalie mtoto bonge kwa kutimiza mwaka mmoja, mungu akukuze katika maadili mema ya dini ili umche mungu ipasavyo ili makazi yako yawe Peponi. Inshallah mungu akupe wepesi

    ReplyDelete
  3. big up Prince Akbar mungu akukuze katika mlolongo mwema wa maisha yako hapa duniani na akhera na makazi yako yatakuwa peponi Inshallah Amina

    ReplyDelete
  4. Nakuombea kwa mungu maisha mema ya akhera na duniani ili ufanikiwe katika maisha yako na makazi yako yatakuwa peponi, inshallah

    ReplyDelete

Post a Comment