FLAVA NITE & MACHOZI BAND MKESHA WA 77


MASHABIKI wa muziki katika jiji la dar es salaam katika kusherehehea mkesha wa sikikuu ya 77 watakutana pamoja kwenye ukumbi wa MZALENDO Pub uliopo kwenye jengo la Millenium Tower,Makumbusho ambapo watapata burudani mbioli kwa mpigo YAANi FLAVA NITE chini ya DJ BON LUV, pamoja na MACHOZI BAND chini ya LADY JD

Comments