BWANA AMEMPENDA ZAIDI PRIMTIVA


Aliyekuwa mwandishi wa habari mwandamizi wa New Habari (2006) Ltd, akiandikia Gazeti laMtanzania, Primtiva Pancrasi, amefariki dunia jana mchana katika hospitali ya Lugalo ya Jijini Dar es Salaam, wakati alipofika hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu ya kawaida ‘Check up’.


Imeelezwa kuwa Primtiva kabla ya kufikwa na mauti alipatwa na presha ya uzazi ambayo ilisababisha kupoteza uhai wake.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEMA PEPONI, AMINA

Comments

  1. KWAKE TUMETOKA NA KWAKE NDIO MAREJEO. Tunamuomba Mungu ailaze mahala pema peponi na awape subira wafiwa wote, kwani wote hiyo ndio njia yetu

    ReplyDelete

Post a Comment