BRAZIL YAZIZIMA SIMANZI, MAXIMO NDANI

MAXIMO
MABINGWA wa kihistoria wa kombe la dunia BRAZIL imetua nchini kwao sambamba na aliyekuwa kocha wa Tanzania 'Taifa Stars' Marcio Maximo naye kurejea kwao BRAZIL akitokea hapa nchini baada ya mkataba wake wa kuifundisha STARS kumalizika.

Brazil ilifungasha virago kwenye kombe la dunia baada ya kubanjuliwa na Uholanzi kwa mabao 2-1 jana.

Comments