BBA 111 YAZINDULIWA RASMI, MWISHO ANAIWAKILISHA TANZANIA

MWAKILISHI WA TZ, MWISHO



MWISHO AKIWA NA WASHIRIKI WENZAKE JUMBANI




SHINDALO la Big Brother All Stars limeanza rasmi jana jumapili kwa kushirikisha washiriki 14 ambapo watakaa katika jumba hilo lililopo katika jiji la Sandton, Afrika Kusini.

Shindano hilo litadumu kwa siku 91 ambapo mshindi ataondoika na kitita cha dola 200,000, huku Tanzania itawakilishwa na Mwisho Mwampamba.

Mbali na mwisho, washiriki wengine na nchi zao kwenye mabao ni pamoja na Jen (Msumbiji) Code (Malawi), Hannington (Uganda), Kaone (Botswana), Lerato (Afrika Kusini), Meryl (Namibia), Munya (Zimbabwe), Sami (Ghana), Sheila (Kenya), Uti (Nigeria) na Yacob (Ethiopia), Paloma (Zambia) na Tatiana (Angola)

Comments

Post a Comment