AY, MWANA FA WAMCHANGIA SISTA V 100, 000 ZIMSAIDIE KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM UWT RUKWA

SISTA V

WASANII wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yessaya 'AY" na Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' wamemchangia Mwanahabari, Mjumbe wa NEC taifa na Katibu msaidizi wa idara ya Idikadi na uenezi CCM, Violeth Mzindakaya 'SISTA V"  mchango wa pesa kiasi cha shilingi laki moja ili ziweze kumsaidia katika mchakato wake wa kwenda kugombea ubunge viti maalum kupitia Umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT-CCM) mkoa wa Rukwa .

AY AKIMKABIDHI SISTA V KITITA


Comments