ALHAMDULILLAH NIMEPONA NA WANANGU PIA

PRINCE AKBAR


PRINCESS ASIA



WADAU nilikuwa nauguza wanangu 'mapacha' na mimi mwenyewe MALARIA wiki nzima, nadhani ni mwezi wa kuelekea 'kuutua mzigo' kwani mwaka jana tarehe kama hizi ilikuwa sitamaniki njiani kumleta PRINCE AKBAR, so alipatwa na gonjwa ya kukaribisha birthday on 28th Juni alipotimiza miezi 11, dada yake PRINCESSS ASIA naye akaunga .
YOTE KWA YOTE TUNAMSHUKURU MUNGU TULIPATA TIBA NA TUKO POA KABISA

MAMAPIPIRO

Comments

  1. pole sana dada kumbe ulikuwa mgonjwa na watoto pia inshallah kila la heri
    Amina

    ReplyDelete
  2. MALARIA HAIKUBALIKI JAMANI WHY WHY mamapipilo inahonyesh kwako ulalii chandarua eee, mmeumwa kwa mpigo?.
    AGH ILIKUWA UTANI.POLE SANA MUNGU AKUJALIE NA WATOTO AFYA NYEMA DAIAM;INSHAALLLAH

    ReplyDelete

Post a Comment